Jinsi ya kuandika sample business plan ya biashara (How to write sample Business Plan)

3Kuna wajasiriamali wengi ambao wamekuwa wanaanzisha biashara bila kutengeneza Business Plan.

Huwezi kuanzisha biashara mpya na kupata mafanikio ya haraka bila ya kuwa na Business Plan.

Business Plan ni idara ambayo itakuongoza njia za kupita wakati wa harakati ya kuanzisha biashara mpya.

Bila ya Business plan unakuwa sawa na dereva anaye endesha gari wakati amefunika macho yake kwa kitambaa.

Mwisho wa safari ya dereva kama huyo inakuwa ni ya mashaka. Kama wewe unataka kuanzisha biashara mpya au unataka kupata mkopo kutoka benki ni muhimu kwako kutengeneza Business Plan.

Wapo wajasiriamali ambao wanataka kutengeneza Business Plan lakini hawajui waanze vipi na kumaliza vipi hiyo business plan.

Kwenye video hii nitaeleza mambo muhimu 7 ambayo yanatakiwa yawekwe kwenye business plan. Business Plan imegawanyika katika sehemu kuu 7 ambazo zinaonekana kwenye muhtasari wa kwenye video.

Tumechapisha vitabu vifuatavyo ambavyo unaweza kuvipata kupitia WhatsApp +255 716682439

1. Jinsi ya kuanzisha duka
2. Jinsi ya kuanzisha mgahawa
3. Jinsi ya kuanzisha salon
4. Jinsi ya kuanzisha duka la vipodozi
5. Jinsi ya kuanzisha duka la nguo
6. Jinsi ya kutengeneza hesabu za biashara

3 Comments
  1. Eflasia Haule says

    Mfano kama mjasiliamali n mdogo na hana wafanyakazi au wamiliki wenza kipengele cha saba atakijaza kwa makisio au atakiruka

  2. Lubz Rashid says

    Naomba business plan na ideas za kufungua kibanda cha chakula ili nisome nielewe.Asanteni.

  3. Chrispin Mkanda says

    Plz!! Naweza kupata business plan ya biashara yeyote ile uliyokwisha andikwa ili nisome nielewe vizr ili niandike yakwangu !?

Leave A Reply
Bitcoin (BTC) RM303,618.69
Ethereum (ETH) RM16,519.30
Tether (USDT) RM4.71
BNB (BNB) RM2,774.42
USDC (USDC) RM4.71
XRP (XRP) RM2.30
BUSD (BUSD) RM4.56
Cardano (ADA) RM1.81
Solana (SOL) RM635.13
Dogecoin (DOGE) RM0.585614
Polkadot (DOT) RM27.19
Polygon (MATIC) RM2.71
Lido Staked Ether (STETH) RM16,516.28
Shiba Inu (SHIB) RM0.000085
Dai (DAI) RM4.71
TRON (TRX) RM0.565216
Avalanche (AVAX) RM121.78