Business Plan ni kama dira inayo kuongoza jinsi ya kupanga, kuendesha na kusimamia biashara mpya. Business Plan nzuri ni ile inayokuongoza kuanzia hatua ya mwanzo ya kuanzisha biashara na usimamizi wa biashara kwa ujumla. Business Plan pia inaweza kusaidia kupata mkopo kutoka benki, wawekezaji au wahisani. Wawekezaji wanahitaji kuhakikishiwa kuwa wanawekeza kwenye biashara ambayo inaweza kurudisha fedha iliyo wekezwa. Business Plan nzuri ni ile inanoyoweza kuwashawishi wawekezaji,benki na wahisani kutoa fedha zao kusaidia kuanzisha biashara mpya au kupanua biashara ya zamani. Video hii inaeleza mambo 8 muhimu ya kuzingatia wakati unatengeneza business plan ya salon mpya. Iwapo unataka ufafanuzi wa jinsi ya kutengeneza Business Plan ya salon basi wasiliana nami kupitia [email protected]. Vile vile unaweza kujiunga na WhatsApp Group ya Tan Business Channel +255 716682439 ili ubadilishane mawazo na wajasiriamali mbali mbali
Tumechapisha vitabu vifuatavyo ambavyo unaweza kuvipata kupitia WhatsApp +255 716682439
1. Jinsi ya kuanzisha duka
2. Jinsi ya kuanzisha mgahawa
3. Jinsi ya kuanzisha salon
4. Jinsi ya kuanzisha duka la vipodozi
5. Jinsi ya kuanzisha duka la nguo
6. Jinsi ya kutengeneza hesabu za biashara
Mahitaji mwongozo wa kufanya biashara za uwekezaji
Nimevutiwa na maelekezo hayo Mungu akubariki sana
Asante Sana Mzee Ali,ila naomba utuletee na ya sabuni za vipande